Morning ladies and gentlement. A new day is here,karibuni kwenye sacco. Goodday
#TGIF
Morning ,
Y’all have a blessed day.
Asante Sana Kwa kunilinda usiku kucha ee Mungu wangu.
Nimekutolea siku ya leo.
Kazi zote kila moja wetu atakazo zifanya siku ya leo.
Yoote yatakayo waajiri wote katika familia yangu,
Kila Mahali wote walipo siku ya leo,
Yoote nayaweka mikononi mwako Amina.
( Been saying this prayer most days since I was taught it when I was in Class 6!)
I Believe in the power of Prayer.
Have a Blessed day Everyone.
Good morning
A beaut friday y’all…
http://2.bp.blogspot.com/-5gd1tA8ytNE/UebWo2iHlII/AAAAAAAABZg/_NLw5EH99WQ/s1600/DSC_0437+(2).JPG
columbia lily
MUWE NA SIKU NJEMA YENYE MAFANIKIO.
https://www.youtube.com/watch?v=_ovdm2yX4MA
Good morning people, TGIF
Asande…true kuna siku mtu huenda office unasikia kama sisyphus…
STAFFROOM HAAPANA OFISI MWALIMU, VAA EARPHONE NA UWACHE KUSUMBUA WALIMU WENGINE
True I can relate
We have been invaded! Nway hope the generals are doing something. Good day people
wewe unajua vile hiyo wimbo imeni-energize? ofis ni figurative, mahali popote mtu hunukishia red creole hata kama ni hapa staffroom.
Morni pple ! Wake up, the village is under Chinese
GoodMorning…
[ATTACH=full]205451[/ATTACH]
Siku njema wadau
The usual unending promises yet little ever gets done.
[MEDIA=twitter]1058192086539923456[/MEDIA]
Nature has give mankind such a compulsion to do good - Cicero in Republic.
Niggas go out there and do good. Many have tried to defy nature and failed…
Good morning ferkers…
Pia shambani ni office !
kabisa
Amen