AFROJIRI SACCO

Watu wakiamka kukiwa na giza hua mnaenda wapi hio saa?

Mimi, kupikia watu breakfast na kustraighten nguo za hiyo Siku na kutayarisha myserof for the day , wengine job, wewe kwani unaamkanga SAA ngapi

1 Like

Asante na wewe pia clean money

Niko leave. Still in bed. Tupatane kasarani

Kwanza tunaenda Ku susu , then shower, then out for biashara.

3 Likes

After 7am. Siwezi toka kitanda kama kuna giza nje.

Umesahau morning glory kabla kususu

2 Likes

Niko tu. Kuoa bado.