Habari zenyu wanakijiji wenzangu? Nawatakia kila la heri na muwe na siku njema
Pia mie nawatakia siku njema na buheri wa afya mkilisukuma gurudumu la maisha
Mwisho wa wiki ndio huu. All the best in your endeavors.
_
https://media.aws.iaaf.org/media/LargeL/96766154-ea84-4811-9fec-beafa8d1849a.jpg?v=-178991895
Baridi mingi sana. Kuumwa na kichwa side moja every morning. This is the worst part of the year for me.
Furahiiday, woop woop.
Asante! Siku njema pia. Mungu awatangulie na kuwaelekeza kwa yote mtakayofanya Leo.
a beaut friday y’all…
[ATTACH=full]104538[/ATTACH]
[SIZE=1]alliums bloom[/SIZE]
kuna nini NH?
Good morning.
A little sleep, a little slumber
A little folding of arms to rest
And poverty comes to you like a bandit
And scarcity like an armed thug.
Good morning talkers ,have a great day
[ATTACH=full]104540[/ATTACH]
same way
For the 1st time in a long time, the temptation to stray is overwhelming.
I’m always amazed at the people who seem to go 100 every day, do they have bad days where they just want to stay in bed and give the middle finger to the world
Morning TGIF
sabalkheri buda.hio kichwa kuuma sio poa inaeza kua onset za migraine ama worse especially kama ni side moja ,hii lazma uende uchekiwe na GP wako just to be sure,vitu kama sinus congestion might be possible as well,take some nasal decongestant ama spray before udoze alafu uwache tei kiasi if so.but enda hosi kwanza
Viceroy itakua Sawa, nimalize baridi hapa mtito, nimekosa train ride ya Leo…