I knew it :D:D:D
Njururi - the water beetle
I knew it :D:D:D
Njururi - the water beetle
Used to sniff Tangit, ile glue ya water pipes and tear endlessly halafu narudi hapo
Those things are very addictive
Kuna maboy walikuwa wameiva kuunda izi vitu.I remb kuna boy aliniundia lorry Ka ya Tata mpaka ilikua na kîngaóri ya mchanga.Na si ile Ati unaforce, automatic unafinya Ka wire apo kwa ‘steering’ and Viola.
…When i finally did a complete back flip. Saa hii hata ku-lean backwards ni hadithi.
I never managed the hand walk ;(;(;(
hio mslido ilikua mbaya sana some bad vipii used to drop zile miba zinakaa star then the person next kuslide ata toka hapo nikaa amekanyaga makaa moto na saa hio most of us used to slide ndethe
Are you my neighbour:D:D. Nilikuwa nachungulia tuschana tukufanya hivi hapo kwa kamto