Afrojilted sacco

I know it’s almost Christmas but Kwani mumetosheka na pesa jamaneni??[ATTACH=full]145321[/ATTACH]

4 Likes

Merry Xmas, bado tosheka bro, kitunguu inuke.

2 Likes

Good morning.

Mimi niko job mkubwa, saa mbili kamili.

Blessed week all.

2 Likes

Merry Christmas, Alfajiri sacco members.

Pesa hawes tosha. Zile deals nategemea hardly ever go through. Then kuna zile unexpected that come through. Leta order ya calendar za campuni yenyu/yako i print niivishe kutunguu ya chrisi na hadi valentines

2 Likes

Merry exmas. Mondays huwa very slow for me. Browsing most of the times

2 Likes

which websites are the moat interesting ata mimi nitembee uko

hehe. Ktalk na youtube

1 Like

Ebu nidunge quotation ya desktop calendars

Nikujie Diary ya 2018, Moja unauza aje?

Poa. Check inbox