African salihiya

Nani amewatumia. Are they reliable.
Due diligence kidogo wakuu

Kuna pia Golden gate cargo compare uone.

I have used them, they are reliable

Kitambo sana, shida za hawa waSomali wa cargo system zao ni analog sana, ukituma mzigo kwao lazima wewe ufuatilie na masimu huko ng’ambo ujue kama imefika, nani alipokea na iliondoka/itaondoka lini kuja KE, kama kuna delay pahali huambiwi ni kungoja tu sasa uitwe zikifika huku, mzigo inaeza fika ukose hata kuambiwa, ole wako mzigo upotee, iharibiwe ama ivunjwe kama TV mkuu utazungushwa na hawaezi kulipa. Niliona terms kwa risiti nikasema wacha ikae, wanaondokea responsibility zote na nikama wanakufanyia favour banae, siwez safirisha mzigo moyo ukiwa juujuu hivo labda iwe ya pesa ndogo sana. Jaribu hata Rolling wao wako advanced kiasi lakini ukumbuke terms ama ulizia kwanza though wote hutaka kuondekea lawama ya mzigo.

[ATTACH=full]487684[/ATTACH]

Very reliable