African Conundrum

Mumeona hio pesa Elins Mask analipana huko Twitta? Ama hamna connections? Waafrika hakuna kitu wamepata but begs the question, sasa influenzas wa YouTube, Instagram watakuja kuflex Twitta? Twitta and Instagram are very different platforms with different audiences. Mnaona Elins Mask akilipa sisi nyeuthi vile hatuna stripper huku vumbistan? Nyeuthi waafrika wamelia sana hawajalambishwa madorra za Mask

Elon Musk is openly anti-Black. Anyone who can’t see it is part of the problem. We should be looking for ways to improve ourselves.

https://twitter.com/elonmusk/status/1679717154973945856?s=20

Elins Mask amesema verified users wale wameona pekee.