Africa

Yaani huwa naumia sana nikijaribu kuiangalia africa yetu kwa jicho la tatu. Kwakweli nikama tulilaaniwa hivi maana mali yoote ya dunia tunayo sisi na tunaweza kufanya kila tulitakalo lakini viongozi wetu kiukweli ndo shida, imagine inchi kama tanzania na mali tulizonazo ila ndo kwanza viongozi wetu badala ya ku deal na namna ya kuleta maendeleo ya watu wao wanapambana na watu ili wapate maendeleo ya vitu, kiukweli awamu hii tumepata pepo wala si bure kiongozi anaye amani kwenye kuwaziba midomo watu wake kuwa ndo maendeleo huyo si mtu bali ni pepo, hakuna uongozi bila mawazo huru

Trump alisema

kabisa na mimi sikuona alipokosea