kwa wazungu maybe only in restricted areas lyk barracks, airports ndo utapata fence but huku africa, walls, electric fences kila mahali, it luks sooo ugly manze, i lyk the settingq of homes in far places lyk state of idaho, frankfurt germany, etc where manicured lawns n neat streets ndo ibada na si watu ndio matajiri kuliko place kama westie nairobi kwenye ukuta kwa fence na gate ingine kama yakuingia binguni alafu hapo nje sewage ime burst ina flow kwa cabro bricks.
Hama uende kwa hao wazungu uwache kutusumbua
Kama huna kitu ya maana ya kupost shughulika na comments section…chupid
bring em on!!!
Enda ujenge nyunba eastlando uweke manicured lawn instead ya fence ya mawe na barbed wire juu uone kama utaishi na amani
[ATTACH=full]50049[/ATTACH]
Lakini backyard zao huwa fenced.
We bomoa fence yako then come we talk after two days
unajita nyeus na bado unatetea wazungu ?, sadness of life
This is a property that has been developed on the outskirts of Nairobi. No steel and concrete fences. If you have the money, buy yourself and your family one unit. [ATTACH=full]50058[/ATTACH]
Where is this?
The setting is awesome!
Huku nikiwa na pesa nanunua house moja na kuibadilisha iwe kasupermarket kadogo ka kuserve wenyeji
Confirming from a source. Get back to you soon.
Unless kuna Police station au military camp hapo ndani…siwes make. Au kuna venye unapewa gun licence pamoja na key ya keja?
kuja kwetu karen hivi hivi pande ya miotoni ujionee
Kayole hakuna fence na @uwesmake hasumbui
I still think that Fences and Perimetre walls are a very Cultural thing set in the Africans mind as a way to keep Wild animals away as opposed to the mentality that we are guarding ourselves against "each other". The fact that we had lions roaming on Nairobi
s streets should explain our obsession with fences.
Hapa uzunguni you dial 999 ama 112 and within 2 minutes there are at least 2 cop cars coming to help you.
In Africa hakuna ata address so before they even understand that unahangaishwa hapo karibu na kwa Mutemi wa akina Njau; wezi washahepa so its in your interest to secure your property inside some high fence.
Ignorance and Upuss is the downfall of the African.
Wadhani master plan yaeza kuwa hivi bila ata shopping centre?
huyu talker lazima ni mgeni kwa dunia