Africa Iko Standstill Ikisherehekea Holiday Ya Slave Owners

NIABM, NIABWA

Kila kitu Ni kuletewa

3 Likes

Get uaself a woman.

9 Likes

i agree 100%

tuko na mental problem collectively including muslims who are non-arab

4 Likes

huwa mnapiga sherehe kila weekend mkikula pombe mwaka mzima, lakini Christian siku yao moja hamtaki?

6 Likes

huyu vhief whiner @bonobo ndindu hananga akili usi bebe yeye kama binadamu

4 Likes

Good question

1 Like

Chinese, indians walikataa hii upuss.
Leo nmepata message mbili za xmas…from my PA and my ex. Nka watu waliacha ujinga ya kutumiana Xmas messages.

4 Likes

Chinese wakienda grave sweeping ceremony/Qingming festival wao huwa wanaweka traffic jam ya two weeks, wao wanapiga sherehe kubwa ata kuliko Christians.

Wacheni Christians washerehekee kidogo pia.

4 Likes

Kuna christians muhindi pia

1 Like

Yao si ya kuletewa.

Sisi hata toothbrushes Ni za kuletewa

3 Likes

na nail cutter zote za Kenya zimetoka Korea

1 Like

For the first time sijapata xmas message except from direct family. Ni kama nasahaulika

1 Like

Watu wameanza ku realize its just a normal day.

2 Likes

Yes, na pia wa Chinese who practice Christianity

I hope so juu nimeamka very disappointed. Plus wasee nimewish merry Christmas wamereply very unenthusiastically. I’m on a deleting contacts spree

2 Likes

No need, tegea new year and see wangapu watajitokeza. Mimi 99 percent of my contacts ni clients, so wana expect.mimi niwashtue. Nina beste mmoja tu.

1 Like

Na mbona unasema walikataa Christmas

1 Like

Ala nmesama hayo kweli

Every year hizi topics za kutrash holidays hazikosangi

1 Like

Important to note that Christmas is a made up commercialized holiday and not biblical in any way.

3 Likes