Hapa pesa inaanzanga kutumika vibaya wakianza na paper work juu ni kampuni wanakujengea, City council, NCA na kadhalika lazima. Alafu ukijenga na precast unahitaji kuwa na doo sio kama mawe, unaweza jenga na pace yako. Wanakulia wasee sana but kazi yao ni poa
A Kasongo “Affordable 85 sqm Three-Bedroom house” @ Ksh 4.25 million with a 10% deposit and monthly payments of KSh 22,935 on the 10th floor of some crowded Estate.