Afande kalizwa, wizi majumbani umekithiri sana.

[FONT=verdana][SIZE=5]Wenye grills za namna hii mjitafakari, afande kalizwa TV.[/SIZE][/FONT]

https://www.youtube.com/watch?v=YlNyvJKr8G8

[ATTACH=full]178734[/ATTACH][ATTACH=full]178735[/ATTACH]

ha ha ha haki ya juzi

asaiv ukizubaaa zubaa waweza uamke asubuh wameondoka na figo au dushe

Acha waipiweeeeee

wapigwe tu hakuna namna

Kumbe huku tuko na maasikari? Mweee!

sasa mbona afande ana hasira na mnunuzi kuliko mwizi?? maafande bana eti au nikutandike :D?? the rule of law is a fu*king joke

Kwa hali ilivyo sasa usipokua makini utashangaa mmelala na mwenzi wako unaamka asubuhi wamemuiba tayari

Tena wakorofi hao wa kulipa kodi

Aisee watu wabunifu sana

Siku wakiingia nyumbani kwako wakakutia hasara ndo utajua wezi sio watu…huyo anaonekana ni dalali wa vitu vya wizi.
Nyumba ya jirani waliingia wakapiga mazaga thamani kama milioni 8.
Usawa huu???

Kabisa kabisa, yaani mitaani kunatisha…