Afadhali nikae ocha kapedo

Ndio mtu atoke ocha aishi place kama hio inamaanisha pia ocha sio kuzuri.

5 Likes

achana na wakamba

2 Likes

Hawa ni kao?

2 Likes

Colonialists warudi since self rule naona imetulemea.

2 Likes

Unauliza!

Hapo ni headquaters ya kina mizta and misiz Nzioki na watoto wao… pipeline nka kila mtu huwa musyoka, katunge, mbithe, elastas, ndaglas, mutinda, mutuko, mutezia, mutiso na kadhalika.

Hapo uki shout jesika, mutoko, mulinge… watu kama sixteen wanaitika. Headquater I tellya.

Nashuku @cortedivoire ni mizta Mutiso pia.

8 Likes

It’s starting to look like those post apocalypse ruins of cities full of danger and mystery. It’s permanently damp jua haipenyi ndio unaona watu wanaanika nguo inside jualas

But what do I know about the big baaad city am just an ocha boy

1 Like

You ain’t seen nothing yet. Wait until those 10-storey affordable slums are inhabited. I can’t even imagine visiting anyone there.

2 Likes

On the bright side, they have water unlike pale ngoni village ndani. @PERDITION rudisha wath wenyu back to long distance trading.

1 Like

Embassava ziko mingi huko juu wakisii pia wamejaa paipu.

1 Like

Affordable estates zitakuwa kama zile projects za United Snakes.

1 Like