Aeronautical Engineer

Kwani hii job hulipa pesa kidogo aje hadi mtu anaishi umoh,na hosptali anaenda mama lucy,kwani ana insurance?
https://www.dailymotion.com/embed/video/x7tulag?autoPlay=0

[SIZE=1]again leo nio idle[/SIZE]

Hawa ni wale walikuwa wanasumbua wakisema I would like to be an aeronautical engineer. Reality nayo sio kama as expected.

ama ni vile si huita nurses huku mtaani “daktari”

I lived in similar conditions with a mission. Sasa niko kwangu.

Kwanza ile profession ya watu wa kuweka ng’ombe mimba wakitumia mikono niliona ata mtu ameenda AHITI Domba bado anaitwa Daktari,the same na a vet Degree Holder kutoka Egerton ama UoN Upper Kabete

Starting salary ya Aeronautical Eng pale KQ naskia ni around 100k on paper. Sijui kama kwa ground mambo ni different. Anyways, I know of a JKIA Air Traffic Controller(ATF) who earns around 500k but lives kwa hizo very tall, shaky-looking flats za Pipeline. Nyumba ni essentials tu, nothing grandiose. As @Zoomx has stated hapo juu, kuna watu huishi vivi hivi bt with a ‘mission’.

Najua jaruo flani alikuwa anafanya kazi hosi kama clerk but alikuwa anajiita daktari. Sijasema huyu pia alikuwa anafanya hivyo.

Kwa raha zake.

Most aeronautical engineers are ex-airforce men. I dont know how much they earned in airforce but is less compared to the industry standards.
They are trained by KQ and after getting IATA and KCAA certifications, they jump ship to Emirates, Qatar, UN, and other airlines that pay a fortune.

Hata pilot wa @Agwambo ule wa napkin anaishi mukuru kwa reuben…

Huyo anaishi Kilimani na ako na webbed feet.Anaspin Embraer 190 na analipwa 485k net per month.Saa hizi juu ya korona,hajaingia kwa ndege for three months now, but pesa inaingia bado.Hio pesa hata uuze keg kwa hio base yako kayole miaka zako zote hutawai fikisha.

my brother inlaw is an aeronautical engineer na Emirates pale Dubs…before that he worked for a local airline earning around USD 1000 a month…he now leads a very simple life pale Dubai and actually shares house with several guys from Asia and rest of Africa…but the boy has invested HEAVILY back at home…some people prefer to lead simple lives

Pengine f**k pad ndio ilikuwa Umoja, real home kwingine. Too bad he died like a dog.