Elders leo nimepitia zile vichochoro zenyu na nimeona maajabu.Nimeona Young drifters lakini sijaingia nimeona aibu sijazoea hizi vitu.Pia nimeona Club calabash lkn kulingana na hekaya za wanakijiji hapa,nimepita mbio nisipigwe ngeta hao nje.Then nikapitia hio lane ya hapo juu,wueh all of a sudden Nashtukia niko katikati ya wamama wanne,two side ya barabara na two kwa mlango,kushtuka hivi naangalia naona imeandikwa Amar,I could not believe nimekuwa nataka kuingia but nikaona nitapatana na mashosho na mimi niko twenty one ,nikaogopa laana za washosho.Sasa swali yangu ni how do you get the courage ya kuingua huko mimi imenishinda kabisa,huwa mnatoa hio courage wapi
2 Likes
Unajaza server na umeffi Kama hauna hekaya. Meffi
3 Likes
ni advice tu nataka
Enda SJ ama VIP, hizo ni secure. Calabash chorea
1 Like
Haukuona @cortedivoire hapo calabash kama amevaa kama clown na kengele akiitana watu waingie wakulane na 150?
5 Likes
nilipita hapo nje jamaa mwigine hapo akasema nataka simu mpya looking at my phone in the pocket,i suspected walikua wanataka kuona my reactions kama nitatense waniibie,but nikajikaza
1 Like
calabash nje msee anaeza ibiwa mchana kweli
VIP kuna vitu young and fresh
Usiforce. That life isn’t for you.
.
hii VIP iko wapi I have never been to one of these joint but want to experience ,sabina joy ni ile next to lazarus restaurant au