Advice ya TV Wall Mount

Wadau kuna vile nataka kuseti telly ya mine kwa ukuta and the swivelling wall mount inakaa kuwa fiti.

Was seeing them at over 5K but hapa Jumia kuna hizi two enticing offers.
Gani worth it?
[ATTACH=full]204914[/ATTACH]
[ATTACH=full]204915[/ATTACH]

Hii kitu unaezaundiwa na fundi Mia tano or better still tafuna big G za 70 Bob uzitumie kustickisha TV kwa ukuta…

If its not your pigsty,wacha kuchimba chimba mashimo kwa nyumba za wenyewe

Tulisema tukihama tunafunika na unga ya ngano

TV ikianguka call me for the burial preparations

Ile bangi nyi watu huvuta aki :D:D:D

Ktalk kutafuta advice ni mchezo wa kubahatisha siku hizi. Watu wanapata orgasm wakikojolea thread.

This meme comes alive…[ATTACH=full]204942[/ATTACH]

@Nyarwath anaweza kusaidia hapa lakini ficha bibi yako ama girlfriend (his mountings know no bounds) … na usimwekee songs za Madilu.

Meffi

Some things are best left unsaid.

Do you subscribe kila asubuhi kukua mjinga???

TV, especially ikiwa unaishi apartment hizi za siku hizi, is one of the easiest and hottest household items kwa wezi kuiba nowadays. Kwa sababu it’s light weight na jamaa anachomoa waya mbili tu, kisha huyooo! Trick is to secure it so it is not as easy as kusneak in the room, unplug the thing and just walk away.
My 'input, nunua one of those brackets, pelekea fundi wako afanye improvision ili uweze kufunga na kufuli ndogo.

I think akina @Mundu Mulosi should create a new category called ‘Serious Talks’

:D:D:D una ujinga sana

Apana it comes naturally :slight_smile:

Mugikuyu original we na mugo Wa kibiru mwitainwo atia