Advice on divorce

Extravagant women are fundamentally stupid.

Ushasema ukweli hapa. Huanga red flag moja ya ajab. Na hio type inapenda instagram sana.

2 Likes

Women are usually extravagant when they are spending money from men they don’t love. So ukiona dame yako anaspend kama nonsense that is a big red flag that she isn’t into you hajali jasho yako. The opposite is also true. Ukiona dame anakwambia msispend pesa on unnecessary shit jua she certainly cares about you. Most women are not okay wasting money earned by men they love. Lakini pesa ya some rich simp they will chop it properly hadi atii. Its a solid litmus test kujua how a bitch feels about you.

6 Likes

Your friend is a bonobo and a simp, worst combination. He’s just trading one problem for another. Instead aache bibi afurahie kuwa single akikula young babes, yeye anaendea singo matha of two. There’s no helping such a man. Jamaa kama huyu ata akiwa rafiki yako unaacha tu afunzwe na ulimwengu.

8 Likes

I agree.

Last year December my shemeji ali marika na harusi, the first one in my life nime attend sidhani nitaenda ingine tena. I wasted my time.

Last month, aliomba wife ID yake akanunua sim card na aka register na jina ya my wife. Hatukujua kwanza alikuwa anadai ya nini kumbe ilikuwa ya kuibia husband doo kiplani.

Aliambia hazi yake ati akona deni ya sister yake juu hazi yake pia ni wakufinya doo anadai yeye atume direct kumbe bibi yake ndio akona line na pin, jamaa anatuma doo ina read jina ya wife yangu anajua amelipa deni kumbe ni bibi yake anamkamua mosmos.

My wife ni mtu naweza acha pesa hata 200k kejani na hatakuwa na idea nazo. Hakuzoea pesa na pia tamaa huwa hana. Sister zake ni the opposite. Kabla niweke fulstop…shemeji ni twin siz ya wife. Alimarika at 30. ELders walisema any woman past 25 akiwa single ni muoto ya kuotea mbali. jamaa ni wa kanisa anatoka murang’a atajua hajui. Shemeji phone yake ikona password but mujamaa yake haina. Shemeji ni mtu wa kuruka hapa na pale. Jamaa wa kanisa alidai hatakula tunda until wafanye harusi. Jamaa alikuwa anakuliwa future wife na jamaa fulani pale fedha yeye kama ameshikilia dini… :grin:

Jamaa soon atakuwa pastor kwa kanisa ya kiroho. Ni mkikuyu kweli kweli.

7 Likes

Such fools never learn.

“He who is born a fool is never cured”. Hapa hata ulimwengu itachoka

2 Likes

Hiyo familia yenu iko na mashida mingi sana

6 Likes

Hehe huyo shem ni wa ajabu kweli kweli. Akona katabia ka kufyonza wanaume marupurupu zao banae. Sasa na watch tu nikiona kijana ya wenyewe akikarangwa na mafuta yake.

1 Like

Akicheza atachomwa na tyre mzike majivu

2 Likes

Huyo anakuanga na atitude ya kujijaza that she is independent. I presume she has some psychological issue that should be attended to…but again alikuwa anaangukia wanaume bure sana walimpendea skin color maybe. Kwao wote watatu ni yellow yellow na yake imeshika excess hata jua humchapa kiasi anakuwa pink.

1 Like

Nipatie number yake

3 Likes

Shifo huyo nikikupatia number yake I will be looking forward to bad news. My brother shifo siwezi risk maisha yako banae

I know how to deal with such characters

1 Like

But your files here speak volumes about your inability to handle such women from your tribe. I recommend that you find a Maasai or a mijikenda girl.

1 Like

@Nguyen234 hana haja na huyo psycho. Lengo lake ni kumuuliza shemeji wako eti ni shemeji wake yupi ambaye huwa na biashara ya matatu jijini kisha uanikwe kijijini.

6 Likes

He should sell all his possessions and gift his wife the money if he’s sincere. Women are naturally extravagant and cheaters, that’s not a good reason to divorce someone.

otherwise, firweni wewe na rafiki yako

True mijikendas don’t marry outside Coast. Just a few outcasts wale wamechoma picha huku na kutengwa na community nzima.

2 Likes

Hehe, I’m certain kuna at least three elders wananijua hapa vizuri sana.

2 Likes

Noma sana but anaweza jaribu. Shida ni accent, @Nguyen234 has a heavy ethnic accent akiongea. Shifo hapa ndio kuna tatizo. Wacha ajaribu basi pale Narok, he owns a ranch na wazee wa kimaasai will be happy to have him as their son in law.

2 Likes

No. I am not that idle or stupid to anika villagers here for no apparent reason. Nataka kujua huyo alpha female mwenye amehangaisha familia ya akina Yuletapeli so that I bring some sense to her head

2 Likes

Tumia hio kijana pasta Simpson ghasia link ya kijiji.

1 Like