Advice needed

Highly esteemed villagers,

  1. What are some places mnaeza advice mtu anunue shamba ya around 4 million (especially around Kiambu, Thika)? Pia what can I do to make sure sinunui shamba from a conman.

  2. Instead ya kununua shamba na kujenga nyumba, is buying a house a better option? just to avoid conmen?

Advice me villagers…

Jenga nyumba design yako, didnt you see house posted here ya matope and outside is well plastered

Uko na hio link?

With 4 million you can do well upcountry, In Nairobi utatii.
One Advice is Once you have found the place, involve a good advocate company with a good pay they can do a good Job.

ps. Ktalk is full of Conmen

Kuja Thika.
Ploti 2m.
Io 2m ingine mwaga materials, connect stima na maji na uendelee.
PS: Na uoe

Unataka kui buy?

Hiyo shamba objective yako ni nini?.. ukulima, speculation ama kujenga pigsty?.. tuanzie hapo… haya 4m ni budget ya kila kitu ama ni ya kununua shamba pekee… umejipanga na stamp duty, za lawyer na kadhalika… na ya macho ya agent…

Ata nishaona… kama hauna tamaa ama maringo mob, kuja nikutembeze katani, ama kangundo road, utawala, ama garissa road, ama gikambura tutafute tiplo ya 1m ikienda sana 1.6m kisha ujenge pigsty in phases, Phase 1 umalizie na 2.2m uingie ndani… pesa ya rent usukume nayo pole pole hadi umalize the remaining phase…

I have one 120 x60 in Utawala, 3.5m

Ready title na maji na stima?

Thika pande gani? Naona most of those lands zinaenda kitu 3-4 M

Kuna ya 1.9M 80x40 behind castle Kama uko serious.We’ll engage a lawyer.