Kama kitu hunikatsia sana ni hii ufala ya kuona mwili. Save for kikuyus, attending matanga in other parts of Kenya will treat you to a comedy show that can shame Mr. Bean and Eddy Muffy(sp) combined. Msee akidedi utapata village mzima inamsindikiza mortuary. Before burial, several busybodies will make trips to the morgue kuona marehemu. Siku ya kutoa mwili ndio utaona vimbwanga ucheke mpaka udedi pia wewe. Kijiji ya mwendazake na three other neighbouring villages will combine efforts kwenda morgue kutoa mwili. Kwa morgue watataka wote waone mwili kwa pavilion before the journey back home begins. Wakifika home tena kutakuwa na viewing combined with the accompanying pandemonium and howling. Wengine hata wataona halafu tena waende wapange line huko nyuma wakuje waone tena. Others will take a sneaky peek then off they go wailing like a mongrel pelted with an avocado seed.
Siku ya mazishi ndio utacheka halafu udedi ya ukweli. Strangers will arrive and head to the well laid casket kuona msee hawajui na hawajawahi muona kwa life yao then time ya kutoa sadaka msee wa kuokota sadaka atakaa karibu na jeneza unalipa ndio uone mwili for the last time. Nani aliroga mwafrika?
:D:D:D:D Funerals are overrated. Ata ya deceased relatives i don’t attend. It should just be a direct family affair. Watu wanasema ati vile siendagi ya watu hawawezi kuja yangu, like my dead ass would give a faq:D. lazima ghaseer zikuje kwwasabu hawawezi wacha free food and tea iende hivyo. funerals inakuanga tu social event yenye local politician anakuja kusema pole naku ji pigia debe.
Kitu ingine ni hizi mchango za upuss kama kusaidia ghaseer kulipa dowry, kufanya wedding, etc. Yenye naweza changia ni ya hospitali peke yake.
Yaani Baruhya na Njaruo are walirogwa
It’s just a matter of coming to terms that kweli mendazake ameenda. Seeing is believing.
Another whining very useless and tucker tucker thread. Let people live as they deem fit. You dont have life’s manual.
@Kodiaga the Eunuch hawa ni mbaruya?
Stick to the funeral topic ghaseer
Kwa nini njaruo razima sipige duluu sikijiangusa chini
Before colonialism, a substantial number of African tribes were not obsessed about Death or even elaborate funeral ceremonies…
Na bado.
Niliwahi enda funeral side za kina epoch…jamaa alinyuria kanairo in his pig sty…sasa kabla azikwe widow had to perform a ritual ndio jamaa azikwe salama…widow had to travell to kanairo aingie kwa nyumba ya marehemu a soothe the soul of marehemu ai ambie itoke kwa hio keja arudi ingoo pahali alizaliwa azikwe.
Sijawahi cheka hivyo…niliuliza majamaa kama hio soul pia ililipiwa kiti kwa basi for the return trip.
But disco matanga was lit…unaonesha kienyeji interest anakuambia ako ready kurudi na wewe kwenu…free pussy pap.
Spot on. But a small correction.
Mungich bonobos niliona pia huview a dead body at the mortuary. Niliambiwa it’s part of authenticating eti mwili nni wa mtu wao.
Fortunately siyo watu wengi huenda huko.
Of course you orangutans overdo it. I really hate that wailing-like-monkeys part…
Cultures and tribes are different. That’s one thing you garra accept.
Tuko na matha na mzae nikaskia matha akimsomea ati izi tabia zako za kukataa kuenda matanga sku moja utajizika.
The Oldman chuckles and asks me, yaa @Eng’iti nakaa mtu ambaye hamtazika juu siendi matanga za wasee? Mkishindwa kunizika stakua naskia, itakuwa tu mzigo wenyu!
Matha akendelea, utazikwa kama kaumbwa achana ii kifua yako…
Eeh saving money for you guys io sku msisumbuane kupika @Ngimanene na matharo for ungrateful ferkers who aren’t of any help to you while alive!
Gwa. She gave up.
Before colonial period the dead were usually left in the forests for hyenas to feast.
Sisi Agĩkũyũ, we just threw you into the forest for hyenas to feast.
Degree zingine hazisaidii wallahi. Of all the things you can start a thread on umeona hii ndiyo inasababisha global warming? Hata kabla ya kujua spelling ya “Murphy” mpaka unamuita Mafi?
Some haters come to view the body to get a satisfaction that their nemesis is dead before them.
That’s why body viewing should be limited strictly to close family members – not the entire village.
As i always say my burial will be an invite only affair everything even kuchimba shimo taken care of by me na hakuta kuwa na mashakura
Pokot hatunanga hii shida … sana sana ukidedi kwa theathre of conflict. Ni AK47 tu, tunachukua to be passed down to your next generation of niglets as part of your legacy. Mwili … well, the hyenas can tell a better story.
watu wa western kenya
The new trend ni kuweka youtube…mwili inakuwa socialite