Ads

@admin. Naona advert zimeongezeka na wewe tu ni kukula na kunona. Since I’m not selfish and have to give credit where it’s due, watu kama MMNN wapate marupurupu, Tata ya introvert iongezwe mafuta, guka pension inaisha na kuna wengineo ambao sijataja. Afadhali wakulange dividends bana ama Namna gani?

5 Likes

Admin kaa ngumu,

ndio iyo @MANKI ya admin

acha admin anukishe kitunguu, kama hutaki apate kakitu you have the option of installing an ad-blocker in your browser