Adobe InDesign Help

*Muugeni Talkers

 Am a regular broke peasant and have Just decided to start a local classifieds ads magazine Ka main hustle.

Am currently designing a sample and Nimechanganyikiwa kuarrange pages correctly.

  Have a faint idea that I should design ivi:
 Page 1 and 12,2 and 10,3 and 10  kuendelea ivo.

   How should I arrange them in Indesign so that ikienda kuprintiwa,Itatokea ikiwa arranged and numbered correctly?
  That is,From page 1 to 12,nisije pata page 1 ndio 12 et al

Sandsana

*Muugeni-Latin for greetings

unasema nini wewe…use your mother tongue tuelewe wewe

Ni nini huelewi mkubwa?

1 Like

Hiyo ni intro

1 Like

niaje jirani chokosh

1 Like

kwa handle ile ingine wewe ni @Nani priss??

1 Like

Poa sana Manki

Umenoa.Mimi sio Jirani.Don’t know Huyo Jirani ndiye nani
Uko sawa InDesign?

Sina thread ingine
This my 1st one

n’kwega murume.
Watch hii ukimaliza utakua umejua https://www.lynda.com/InDesign-tutorials/InDesign-CC-2017-Essential-Training/466174-2.html
haya, nginya ogoro.

1 Like

Sandsana wayia

1 Like

[ATTACH=full]99486[/ATTACH]

1 Like

Panga hivi:
12-1
2-11
10-3
4-9
8-5
6-7

1 Like

Shukran mkubwa

1 Like

@Some Say kuja saidia uyu na imposition

2 Likes

Huyu hawes afford mimi. Kwanza wewe tupatane kwa justice odunga monday 9 sarp