@adminstrator

@administrator hebu changamsha kijiji kama jana. Weka kitu hapa tuanze mjadala. Siku nyingi sana thread imefika kurasa kumi na nane hapa. Ama fungua hiyo thread tuendelee mahali tuliachia.

Natumai kufikia sasa umejifunza tofauti ya YOUR na YOU’RE.

Chawucha sana Mghosi, Mlungu ukiwike kula wukelu.

Habari ya Jioni Bwana Juma?

Safi sana kaka. Kwako vipi.

Namsifia tu mgema nikikaribisha wikendi.

Niaje Dagitari?

Uko Msa?

jumbekumbavu niaje

Poa sana mkomu(Mzee wa kijii in mijikenda). Hali vipi kwako

Hapana mkuu niko kazi kanileta ukambani kwa waganga wenzako… Najua ungefurahia sana kujiunga nao. Wagema pia ni wengi mvinyo watiririka tu.

Hamna neno. Katulia tu kumalizia siku.

“Wanganga” ni nine kaka?

Kakosea waganga… yani Andu Alosi

:D:D ati jumakubaffu

Btw @Mundu Mulosi I remember TV yako ilikuwa imeharibika 2017 ikakukera sana mpaka ukaweka post hapa ukisema itachukua muda kabla ununue nyingine kwa sababu ulikuwa umepungukiwa na hela. Ulipata pesa ama tukuchangie braza?

Juma ni mwanzilishi wakijiji mpe heshima. Si kila mti wa matunda wastahili kurushwa mawe.

He he he he, the kids could not allow me, I had to look for money. Na vitu zingine unasahau kaka. Lakini if you are feeling sufficiently philanthropic unaeza nunua Konyagi.

Mimi nawesa rusia wewe msinga shida ni anonymity yangu inesa kuwa kompromysd. Lakini ukiweka paymbill hapa tawesa tafuta njia

Acha nikutumie paybill.

Murogi ghassia niaje

Sawa, nampa heshima ya wazee

Kende mosi @Mundu Mulosi pokea salamu Kaka…Naomba utuangushie Uzi mmoja was “Africa is a Beautiful Continent”