Nimetoka uko mukuru kwa zuckerbeger kuna page inajiita kenyatalk uko and its sharing nearly all threads from here.Kila kitu watu wanapost hapa iko uko.Unaitambua???
Cc.@Uwesmake mtu mwenye alikuita Randy man aliona momo zako uko
momozAA!
Its true, i was sametimes logging into my account through mukuru
its the reason we got so many NVs i guess
wacha!!! ata supper ya @Kihii Kiaganu iko uko…
wameshare vitu mob sana…watu wa fb wakiona thread za kihii kiaganu watatubeba ufala sana
Very correct
[ATTACH=full]90038[/ATTACH] Kipii ni kipii tu…
Weka link
Kitunguu ya admin bwana
Sweeeep
Seconded
kwani unafikiria kuna kitu ingine tunafanyanga hapa zaidi ya ufala
mimi nili agree na admin zangu zisiwekwe huko na nimeenda nimeona zangu hakuna
enda tu fb search page inajiita kenyatalk utaona
tukiifanya indoors si mbaya…shida ni kuiexpose kwa kila mtu uko nje
Link zingine watu huitisha ni za nini? Ni uvivu au ni ufala tu? If you go to facebuk and search kenyatalk utaona mbisha ya momo hapo ujue umefika
Meffi, you thought I didn’t know how to do that? Put the fucking link.
Hio ndio inakuanga kazi ya hizi robots
This page has been there since klist i rem when i was unable to access it the first place nilienda ni hiyo page wakadai watu wamehamia ktalk kiungia saw some familiar handles after 2 weeks nikawa convinced inawesa, the mods are behind it check year 2014 and 2015