Administration village is Lagging

Am i the only one niki click something kwa kijiji it takes a sec or more to open? Fundi wa mitambo angalieni hiyo maneno

The term reminds me of the person who would fix Microphone and shiet in church when they would jam

Admin ni wale wale.

@Electronics4u tutakufuta kazi

Tafasali msinifurute priss.
Niko kalibu kwenda retire.

Basi fanya kazi bila mucheso

Chonjo wakwitu

Saffi mkubwa

Niuzie shares zako fundi wa mitambo.

Kijana ya mitambo, eka hizo cables turbo charger

Speed ni za konokono uku, inakaa tumegonga monthly quota

Ni juu uko karibu kuzaa na umezoea kutingizwa juu ya kitanda ndio maana mambo yako inaenda pole pole.

Sasa nikubalishe nikunie.

Una ufala wewe mbona kukunia kijiji. Utatumwa Siberia na @administrator

Mushienzi!! Si umetoka kukunia hata wewe?