admin

Mbona umedelete telegram ya ktalk.
Tulikuwa tunasafisha macho huko.sasa acha tuhamie hio ya uncle basi

:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D

MTATAMBUA @Deorro NI KIJANA WA NYUMBANI

2 Likes

Kuna Telegram ya Ktalk bado?

1 Like

ati tumedelete Telegram ya Ktalk??? WTF are you talking about? we don’t have an official Telegram group, if we had one we would have communicated that here. kama ni kusafisha macho we do it kwa Telegram group ya Uwesmake.

2 Likes

Publicity stunt maybe?

1 Like

@culture your high on gotha scent.From my end bado iko.Labda umejituma Alaska on your own

2 Likes

Am sure @culture alikua anabrag huko, vile amenibragia ato ako na namba ya fisilet kumbe nis story tu!

3 Likes

Telekram bado iko…as at 18.06

1 Like

[ATTACH=full]58545[/ATTACH]

2 Likes

Wee umenduthi hadi unaona channel imepotea? ??

4 Likes

Telegram bado iko mjamaa

1 Like

Saidia masikini na rink priss

1 Like

but kuna ingine ilikuwa inajiita ktalk.na imepotea

Hii team mafisi ni gani

@culture Tulia, kesho Enda reprimand the rude Muslim woman at liberty plaza, kisha utarudi ktalk telegram bila hata kuuliza

2 Likes

Saitaaan

1 Like

aki its not fair nyi watu mnasafisha macho pekee yenu na sisi wengine hapa tunameza mate tu walahi pliz i’ve begged for long mtu anipe link tafadhalini ntashukuru a million tyms. ki bro tu maze!!!

2 Likes

Link imekuwa disabled,
Ktalk

[SIZE=1]Huyu ni sister wa @Gio?[/SIZE]

4 Likes

wasee bana kueni na utu! acheni uchoyo! nimeomba sana maze!

1 Like