ADMIN

Kwa Nini nashinda nikiona hii kitu? Inakatsia bana. Is there’s something I’m not doing right ama ni iphone 16 pro yangu imechanganyikiwa?

1 Like

Tumia Brave browser hutapata ads pia

1 Like

Simu ya Ram ya 512mb ndio shida

1 Like

Admean ni mbwa shetani ibilisi alifanya blunder kututoa from Xenforo platform. Hii platform ni meffi

2 Likes