Admin Vs KT loyals

Admin alianza hii kitu, kisha akaweka ndani yake forums for everyone to safely post and open his or her desires.
Kisha deep kwetu pale SEX and relationships akatuwekea +18 na EXPLICIT kumanisha whoever opens that thread is ready and mature above eighteen years.
Lakini inaonekana kila tukijificha tuvutie huko kwetu kisiri, Admin anatufata na kuturusha inje Siberia kama defender na pengine kama karao wa morals akifuta threads zetu eti ni porn.
For those who attended school mnisadie ama mtusadie, Je SEX,[ATTACH=full]218230[/ATTACH][ATTACH=full]218231[/ATTACH] +18, EXPLICIT humanisha nini???

Pournography ni nini @villagehero aka @admean?

Alifungua KTalk classified, meaning that, it just a matter of time for you to be kicked out as ktalk becomes a business oriented forum.
Hii hata @gashwin na hizo maua zake za kila ashubuhi atatoboa.

Akuje atueleze badala yakutukimbiza kigafla

@turdmean should explain clearly how the village should use the prefixes “explicit” and “+18”

Tushatandika leso zetu, twamngoja kwa hamu na gamu.

May be explicit and 18+ means something else…turundi ngumbaru masomo

U are lucky u are still here

[ATTACH=full]218339[/ATTACH]

Pullsheet

hatujakuelewa vizuri mku, uko side yetu ama ya admin?

sipendi admin:D:D:D:D:D:D nilikua tu nacomment kama vile “riswa” hufanywa na legio maria during mid prayer.That was me cursing mid-post

itabidi tupeleke admin Siberia for one day aone vile tunateseka huko, ama tudelete post yake kisha tumuekee “Reason: ujeuri” tuone kama hatasikia vibaya.