Hii story ya titles ni kutubeba kama viazi @admin . Ata Magufuli alianza hivi, mwishowe amefika pahali anatukana Kenya, kama unavyotutukana sasa.
2 Likes
admean=magufuli
Waache utoi!
2 Likes
HII si viazi hata hii nikutubeba MABUONII
Wanafikiria wao ndio kijiji. Alafu hawatujibu namna hizo title zinakuja.
Bad mboys wamewasha moto kwa hii kijiji.
Favouritism hatukubali. Scrub all titles [SIZE=2]ama mniite Village Mystic[/SIZE]
Ahaa!
A better way would be to include a field where one enters the prefered title after village elder. Then trophies are set and once achieved the title triggers automatically.