Admin naomba application ya kenyatalk

Siyo siri app ina umuhimu wake ktk kujoin na ina raha yake, nauliza kama app ya kenyatalk hipo naipataje, kama haipo vipi utaratibu wa kuwezekana kuwepo?

Asante

bado tunachapa code…ngoja kwanza

Jibu ni kuwa haipo na haijawahi kuwepo.

Zoea tu mkuu.

Hapa bado ni “kijijini” hawajafika “mjini”

Me Web si injoy kabsa hadi wafanye hima kutengeneza app kwakweli

Hawana app hawa

Nangojea mkuu

Asante

Swali lingne je kuna uwezekano wa kupatikana, yaani mpo katika jitihada za kupatikana?

T

Tuwangojee labda watakuwa tayari kutupatia njia muafaka zaidi ya web, yaan App kuwapo.

Kwa kweli, APP ina raha yake.

Sawa mkuu acha tuvute subira

Asante kwa kuwa mvumilivu kama mimi, maana hata hyo ndyo kauli mbiu ya #JFTZ

Hahah!!!

Wakenya hujifanya wajanja sana lakini kwenye hili hawana lolote kabisa…bila apps itakuwa ngumu kuvutia watu wengi

Kiongozi nadhani hapakuwa na haja ya kulifanya kuwa swala la uKenya… kukosekana kwa App ya KT linakuwaje jambo la wakenya wote [generalization]… wamesema haipo ila wako kwenye utaratibu wa kuiweka na wameomba subra.

Yeah itakuwa ngumu, lakni ngoja tuwe na subira kdgo, labda watakuwa na jibu sahihi.

Kumsamehe aliyepitiwa au kutokujua alichoongea ni busara (msamehe), ningependa tuwe wapole ili tuweze kupata utaratibu zaidi.

Asante.

App zinawashinda wengi sana! Hata Nairaland pamoja na ukongwe wao wote lakini hawana app inayoeleweka. Ukiidownload ni kama umeweka virus kwenye cm, haijulikani inatoka wapi inaenda wapi.

Muungwana Ni vitendo

Mvon