Admin let me change my name once

Admin my life is in danger I need to change my handle only once. If possible I request witnesses protection

Lil James tulia.

Rock to STone or what ? Jina gain unataka we nugu? Mbegu mbaya hii sema haraka ijiot

@patco unasumbua

Weka stone

Or any name bora hii itoke I have been exposed elsewhere

Ulikatia bibi ya landlord ama, leta hekaya yote

Hii thread itang’olewa very soon ukiona ngurwe hapa.