Admin @Deorro

Yani hamuezi fanya maintenance saa nane usiku…
Mtatucompensate sisi wenye full time job ni kukaa online Ktalk??

My point exactly. Hope it’s not the upgrade to Xenforo 2.

It is

Nice one :D:D:D:D

hapo wametuwaste na vile niko idle leo

Why wait? Upgrade now.

there is never a dull day in this village, umafanya nikacheka kama wazimu (ati compensation :D:D:D:D )

Kuja www.kenyatalk.net tubangaize huko. Kuna madem

niaje @Deorro

eeeeh tunafaa kupewa kakitu sisi wenye tutakuwa affected

Niko pouwah.
Ile through pass ya yule dem ulisemaje?

Nani amepupu kwa site

leta tu omena paperbag moja tutaongea

Alafu ile konyagi ulinipromise unangoja imalize mwaka moja tuiimbie happy birthday ama mpango ni gani??

ngombe, comment na ile handle ya sublenya. :D:p:p

@Deorro tusizoeane priss…uko admin ako online solo…ama madem ni hao 13guests??

Unataka na fulu pia?

Nakuru cownty nitasija na slay queens in tow. Tutachafua meza. Tulia

Admin ni kama alipata threesome too weekend sasa macho ikafunguka

sasawa nangoja