Admin , Deorro , Mundu mulosi , Purple , Electronics 4 us .. Kujeni apa

Nimeskia tu niwagotee.

Msidhani kila wakati tuna file complaints

Niaje mzito. Mimi niko poa. Napika ugali saa hizi kwa bedshitter nikisiza hii playlist

[ATTACH=full]161974[/ATTACH]

Real men listen to this

[ATTACH=full]161975[/ATTACH]

Umbwaaaa wacha kutupigia kelele tukilala

Hizo ni nyimbo za kinyozi.

Niaje Wakanda man.:slight_smile: It’s a beautiful, somewhat chilly Sunday afternoon, I’m doing laundry for the upcoming week. Good night talkers as you head off to la la land…

Karibu niongee mbaya sana, but nimeona @Purple amelike nikatulia

Simu yako ni single Sim?

:D:D:D

Mzito Mundu Mulosi mwenyewe…

[ATTACH=full]161986[/ATTACH]