[ATTACH=full]52895[/ATTACH] @admin kuwa mjanja na wewe pia uzindue mradi. Wacha kuka hapa kiholela mbweee. Zindua mradi hapa kwani watu hapa hawana lolote ki maisha. Walevi/wapenda kula watoto/umalayah/kujigamba.
Mfano jamii imezindua…
[ol]
[li]Mtandao wa JamiiForums.com umezindua rasmi mradi wa unaowashirikisha viongozi wa kuchaguliwa(hususani wabunge na madiwani), Serikali(Halmashauri) na Wananchi katika kurahisha upatikanaji wa maendeleo.[/li]
Mradi huu unaotambulika kama “Tushirikishane” una malengo ya kuwawezesha wabunge wa kuchaguliwa kutekeleza ahadi walizotoa wakati wa uchaguzi kwa urahisi.
Pia Tushirikishane inalenga kuzisaidia Halmashauri kuboresha utoaji huduma za jamii kwa ufanisi zaidi. Mwitikio(maoni, ushauri na kero) wa wananchi katika mnakasha wa Jimbo/Halmashauri utachukuliwa kwa umakini na viongozi hawa ili kuhakikisha mrejesho unatolewa kwa wananchi.
[/ol]