pipita
October 28, 2016, 6:01am
21
Nikiwa Guru Nanak a Umoina conductor was brought in with a broken hip joint, jama kumbe ni drug addict. Siku ya tatu withdrawal symptoms set in, ile show alileta kwa hospitali sijawahi ona. Kwanza usiku aliongea the whole night with all his dead relatives wakuche wamutoe kwa hiyo jela. Mchana jama akatoa nguo zote na beddings akarusha chini huku anashout wamuonyeshe tu njia ya kutoka, mpaka anabeg na sisi wagonjwa wengine tumusaidie atoroke, saa hizo amefungiliwa mamawe kwa mguu to pull the hip joints into position. Juu the guy was imobile, alikuwa amefungwa pampers, jama anatoa zote, nilionea nurses huruma.
Hehehe, involuntary rehab.
system
October 28, 2016, 6:40am
22
@Mundu Mulosi in short unamaanisha?
Ikhondo wewe
Namaanisha addiction is no joke.
Just so you Ikhondo is actually a delicacy of the Tiriki who border Kakamega Forest.[ATTACH=full]64792[/ATTACH]
1 Like
system
October 28, 2016, 7:00am
24
Ati there are people in kenya who actually eat monkeys??? I thought its a central and western african thing
There is never a time in my life I am not addicted to something. However, I am about about to crack the ceiling: weed, alcohol, miraa and music. Cheez sometimes I wonder how I function!
WuTang
October 28, 2016, 8:45am
26
Nikiwa Guru Nanak a Umoina conductor was brought in with a broken hip joint, jama kumbe ni drug addict. Siku ya tatu withdrawal symptoms set in, ile show alileta kwa hospitali sijawahi ona. Kwanza usiku aliongea the whole night with all his dead relatives wakuche wamutoe kwa hiyo jela. Mchana jama akatoa nguo zote na beddings akarusha chini huku anashout wamuonyeshe tu njia ya kutoka, mpaka anabeg na sisi wagonjwa wengine tumusaidie atoroke, saa hizo amefungiliwa mamawe kwa mguu to pull the hip joints into position. Juu the guy was imobile, alikuwa amefungwa pampers, jama anatoa zote, nilionea nurses huruma.
He must have been hallucinating.