Juzi 31st nilienda pale Athusi Bar ndo nifungue mwaka ka nimeonja slices. Nilipata ka brown skin kamoja karembo nikaona hapo lazima niache signature. Juu mimi hupiga sampling huko nikajua bei ni 150 lakini wapi alinionyesha ati bei ni 250 ati juu ni festive season watu wako na doo. Nilimwonyesha nina 200 akadai haiweizi na mimi nkaondokea mchezo. Saa inabidi niende January kati kati ndo wakubali 150.