Adam Malima; Hili Suala la Tarime Unajishushia Hadhi

Zacharia ni mmoja wa majambazi wakubwa kutoka Mara, few have retired and settled in Mwanza, he has remained a seasonal bandit

Huyu ni katika mizigo iliyopewa mamlaka

[FONT=tahoma]Tulipofikia ni kubaya sana kama taifa TL alisema wakimaliza kwao watakuja kwetu naona yanatimia.[/FONT]

Inasikitisha sana…

Cc: @Mahondaw

Kwahili analazimika kujisahaulisha ili atetee tumbo lake kwa njaa iliyotaka kumuua… tehteehhh

Pale Nashera hotel malima alipigwa bao na kahaba baada ya kunyonya matiti akapiga usingizi fofofo huku mapesa zikiwemo dola na shilling zikichukuliwa

Hivi na pale Morogoro alitaka kuibiwa silaha!

Alishasahau kuwa na yeye aliwahi kufanyiwa unyama kama huu tena mchana.

Una ushahidi mkuu??

Fala sana huy ndiyo maana na yeye walitaka kumtwanga risasi kule masaki.

Haya majambazi yameingia choo cha mwajuma! hayatoki ngoo na waliomteka Ben saa 8 watamsema! Zakaria pata wanasheria wazuri yaumbuke! Zakaria kwa hili you my hero!! ungeyaua kabisa

kwa uelewa wangu TISS ina vitengo viwili information na operation sasa basi naomba kujuzwa hapa…

  1. kulikuwa na operaton gani kwa Zacharia hadi kuja kumkamata usiku
    2)kuna taarifa gani walizokuwa wanazihitaji muda ule amabazo Zacharia alikuwa nazo muda ule obviousy zitakuwa ni hard copy or soft kwenye gadget?
    3.kwa nini nisiamini kuwa hawa watu mara nyingi wanafanya kazi kwamaslahi yao na si maslahi ya nchi? naamini wao kama wao walijituma kupata chochote

Watuambie yuko wapi Ben Saanane au wamemzika kaburi gani!? Watuambie Ni nani kati ya aliyemmiminia Tundu Lissu risasi! kama mvua!! watuambie wanatumwa na nani? Wanasheria hiki ndicho kipindi cha kuingilia kati! Helen Kijo, Fatma Karume mko wapi!/ Watuhumia hawa hapa