Acha Niwaibie Siri Kidogo!

As a government we are also a bit happy when jakuon is doing maandamano. That’s why mnaona hatuwagongi sana. Kama tungetaka kumaliza izi protests tungezizima within no time. However, we want tinga to continue causing disruptions ndio wakenya waone hajabadilika. uhuru tried to cleanse him ati he is now a changed and a peace loving old man but his real behavior is coming out clearly. babu amejikaanga na mafuta yake. ivo ndio mambo iko wenzangu.

2 Likes

wewe ni mwenda wazimu…unaota mchana…you need to get checked

9 Likes

Ati sisi kama serikali [laughs in capital letters]
Enda kwanza ukatiwe sukuma buana usiku inaingia

4 Likes

…nyamaza!!! sahi tuko na hasira kemkem :grinning: :grinning: :grinning: :grinning:

4 Likes

Enyewe we unaweza kuwa uko kwa serikali with your low level pedestrian take bs…venye tu JSKS bado ako slumber land na ana believe what happened in the latest maandamano ni all sponsored you would fit very well in his clueless cabinet…mi siko vumbistan na ile maneno niliona juzi nilikubali Kenya revolution haiko mbali…we uko mtaa na bado haufeel the ground is very hostile??

4 Likes

raila is gaining support everyday… only a fool would not see that

5 Likes

yea, uko luo nyanza, otherwise huyo mzee mambo yake hamna

2 Likes

Akili kama ya mende muzee.

1 Like

weno tutakabiliana na goons, wait n see

1 Like

As stupid as your name, ati Berlin Oxford… A true Kagege talking

1 Like

Truth hurts

1 Like