Acha nishike ka late lunch



2 Likes

huku ni wapi?

1 Like

Hii ni snack banae, 2 ribs …better be like 8 other courses coming

3 Likes

Ha ha ha, nilianza na some fruits, hizo lamb chops zinanitosha.

2 Likes

Wewe ni omwami mwitu

4 Likes

Wapi ugali?

6 Likes

At a certain age, you just eat to live mkubwa, hatukimbilii chakula. But I eat a prober breakfast.

3 Likes

Hakuna ugali kwa 5* menu.

2 Likes

Civilised people eat potatoes (e.g mzungus, kikuyu). Anyway ulilipa ngapi hio lunch?

5 Likes

2K, three courses.

This is too heavy ndugu😀Sasa dinner untakula nini?

2 Likes

Siwezi lipia chakula Thao mbili Na nikose kuona some roasted goat ribs, kachumbari Na ugali kwa menu. Fuck experiences. Hio Ni pesa ya kutosha mkono ya mbuzi mkiwa Na wasee ndio neno lisiharibike mlipo. Anyway to each his own.

6 Likes

Circumstances bro, unajipata mahali hauna options.

2 Likes

Polenta is the name

Soup and croutons

1 Like

Neither of those are a barometer for civil behaviour. Washamba ndio wana amini upuzi kama huo. Mwanaume anakula viazi for supper na mwenye anakula chips hawajaachana mbali.

Next jaribu Fogo Gaucho uwajenge 3200 ukule minofu mpaka useme tawe. But don’t fall for their salad ruse. They will politely direct you to their salad table first ndio ushibe usirarue minofu. Janja sana hio watu. Politely decline Na useme walete nyama fasta fasta. Ikiwezekana beba wife muende na yeye ndio at least ukuwe Na mtu wa kupiga story between cuts. Usikule pekee yako kama mlafi vile umekula Leo.

8 Likes

Stop being a moron. Not everything revolves around ugali

2 Likes

Sijakuelewa

Nikikupata wewe kama mwanaume amemea nywele ndani ya pua na maskio ukila viazi for supper ndio tutajua where everything revolves.