Accomodation in Ruiru Town

Any recommendations a good place to sleep in Ruiru town. range 500-100
also place ya kuosha rungu…mahali wanajipanga i choose from

Google is your friend, pana sumbua elders na umalaya yako

11 Likes

Kuosha rungu tricky unless wale wa tagged ama nairobihot na wote ni catfish anyways

1 Like

Hapo Membley kuna spots mob sana. Shida ya those cheap lodges ni kunguni

2 Likes

Ruiru ni place ya kuoshea rungu jamani

1 Like

Btw kuna colleges mob sana around hiyo place kwanza hapo Kimbo…damn…funny thing kuna siku niliona mali safi sana nikiwa hapo kimbo kwa junction traffic. We locked eyes but kwa ndani nilikuwa na family…we were stuck kwa jam. I could tell we had some chemistry as we kept glancing at each other. Damn…that gal was cute

5 Likes

The only time napitia hio side nikiwa naende thika sijawahi ingia ruiru ndani mimi huogopa place imejaa ma mungich wanaweza kuuza njumu ukitembea upewe ngeta ajab

1 Like

Accommodation unless uchukue airbnb ruiru haina those cheap lodging that I know of. Kutosha rungu enda Hapo bobs Kimbo alafu enda nyuma yake Kuna base za pombe na usher ATI they operate 24/7

6 Likes

Iyo line ya choma zone apo OJ kuna lodgings ndani. I know this juu nilienda kupatana na dereva wa lori tupige hesabu vile ataniletea mawe tukiskuma chupa moja mbili. Kidogo nastukia jamaa ametoka kwa stool na hajarudi na pombe iko nusu juu ya meza. Kumbe nyangau ilichukuana waiter ikazamia na yeye uko nyuma. Nililipa bill yangu nikastep.

1 Like

Ala! Unadai kusema kama alichunisha “waiter” sukuma?

Waitress…most people use same name for all gender

1 Like

500 - 1000. Wah! Tafuta pesa kiyana.

Young man work hard

1 Like

Haikuwa imefika hapo🤣

Membley wapi?

6 months later and this comment is still true.

1 Like

Membley Resort n Grill

Ruiru Ndani Safari Lodge Next To Club Solid 1000
Palmshade 1000

Airbnb