[ATTACH=full]500944[/ATTACH]
This accident happened last week. Hapo njiru Kwa mteremko. It was caused by a personal car bonobo overtaking Kwa hio mlima. A personal car was switched between two mats. Watu wengi walinyuria. Hio accident happened hapo morning 6:30-7 am.
hiyo mteremko ya njiru hukuwa mambo biyad!!
hiyo ni metro trans ama supermetro?
Supermetro
Hio mteremko imefanya wengi wafike final destination mbio sana.
Niko nyuma ya msito bill gates tupunguze ujinga.
That place is very dangerous, and the right turn at the junction (the underpass) is tight and sudden, there isn’t enough time to slow down. They should post warnings half a km away and cut down speed to no more than 40km/hr.
Noma mdau Iko siku lorry mbili zimelimana head on. Ingine ika ingia Kwa MTO. Kuna youtman alinyuria alikuwa amedandia huko nyuma. Nine zilibonda yeye.
Iyo mteremko ya Njiru huanga ngori sana. Kuna lorry ishaipanda iyo mlima kufika halfway ikakwama wacha ianze kurudi nyuma, luckily mtu wa matatu alikuwa na time akahepea kando.
The accident was caused juu mat lazima ipande hio mlima at high speed ndio itoboe. Ghasia ya personal was overtaking from huko Chini he had poor visibility he didn’t see the downward incoming mat. Hivyo ndivyo alisiagwo.
ghasia ya poisono ilihepa?