Accident along Lodwar highway


na hivyo ndio watu walinyuria… mbona hizi areas watu hukimbiza gari ama ni wakipatana na maboys baadaye wanajisifu vile walikimbiza gari Lodwar mpaka Nai in 4 hours sasa mtu anajiona vile yeye ni jogoo

Mifugo ya turkana na pokot hutokea ghafla bin vuu. Ama ukiskia bandits walikua area…unakanyaga gari kabisa

Mtu wa one fiddy @cortedivoire , kwani unafanya kwa front desk ya accident hotline ama nini …