Accident alert

A lorry has crashed into a house and other cars at Kahawa Wendani estate
[ATTACH=full]47212[/ATTACH] [ATTACH=full]47213[/ATTACH]

ohh no not again,
Grisly accident at Makuyu. 4 dead on the spot.
[ATTACH=full]47215[/ATTACH] [ATTACH=full]47216[/ATTACH] [ATTACH=full]47217[/ATTACH] [ATTACH=full]47218[/ATTACH]

eish?
hio ni probox ya miraa kwa pic za makuyu???

Lorry imebomoa ukuta but still very intact

ion in the second accident nangoja mseme subaru

yaani Lorry haina damage yeyote, Kahawa wendani the Headquarter of chips fungas

3 Likes

cheki vizuri, the bumper is missing

Hiyo ya jaba /goks lazima wote ni RIP…speed zinakuwanga always 180km/hr

thats why drivers have to respect trucks. hii kitu ni kaa deree anakuaga second floor na wewe uko basement

10 Likes

Wa KU.

1 Like

Hizi probox za kimuti huwa noma…may they rot in pieces

hii mwezi aki! kwani iko nini?

1 Like

leo kuna watu hawatakula “nyasi ya kidero”

Umeninyanganya maneno.

1 Like

Personalized advert for Aluzinc mabati and Simba cement.
Gives right up to your doostep a whole new meaning.

1 Like

:smiley:

Watu wa probox bana…mtaambiwa saa ngapi hadi kwa estate mnataka kuendesha 90kph NKT!

1 Like

Probox, tabia kama pikipiki mwitu!

:D:D:D