[ATTACH=full]28857[/ATTACH] Eastern bypass around Kamakis area, serious accident, trailer and private car.
Traffic snarl up both sides. Avoid[ATTACH=full]28856[/ATTACH] [ATTACH=full]28856[/ATTACH]
:eek::eek::eek:
ujinga, yaani una time ya kupiga mbisha badala ya kusaidia
But am seeing a Nissan matatu upside down.
guyz are looting from the nissan passengers? ama ni survived passengers picking their valuables
Na dere wa Nissan kwani amedie kama amekanyaga accelerator?
Private car? Those Vannettes are driven by people high on a certain herb. I hope there are no casualties…
Ujinga ni ku assume juu nimepost picha ni mimi nimepiga
Dere ako sawa…ni mtoi mmoja ameumia sana mguu. Amekimbishwa hosi ni Eplus ambulance.
[ATTACH=full]28859[/ATTACH]
[ATTACH=full]28860[/ATTACH]
Ile jam nitakuwa eastern bypass nitakuwa mbaya.
waaaaaah :eek::eek::eek::eek::eek:
WE
Wewe hiyo si private ni mat and it seems iko na passengers
That Nissan most likely caused the accident.they usually pick passengers at that tricky bend yet it’s a blind spot. From the looks,the passenger car driving fast could not stop in time as a silly driver just joined the highway .But again…that’s just me
Pole kwa waathiriwa, Na what up with you keyboard(pad)…nitakuwa= itakuwa,
Jam imefunguka? I need to go to embakasi from ruaka
wawa hii by pass ilifaa kukua dual carriage zile head on zinakuanga wacha tu
Nilisema hivyo siku ingine nikatusiwo ni kama mimi niliijenga.
That rat path is not fit to be called a bypass. Pole kwa waliopatwa na hili janga.