Multiple car accident along chiromo road outside Mirage.
Mbisha?
[ATTACH=full]86862[/ATTACH]
Hapo watatoka kesho
german cars always standout
Hii Nissan INA carrier inatoroka ama?
Poleni sana, thought i had attached ama ni mode ame zitoa
[ATTACH=full]86863[/ATTACH] [ATTACH=full]86864[/ATTACH] [ATTACH=full]86864[/ATTACH]
Sasa huyo jamaa ana coffee table na mattress juu ya Advan atalala wapi? Atawekela wapi chai sasa?
Aki shida zingine…
ION naona CS fulani hapo anataka ku-overlap. Serre nigga!
Uuuwiii.
Audi imekojoa.
Walunje watakosa mikate ,hujumaa.[ATTACH=full]86870[/ATTACH]
Yaani hiyo basi imepata hiyo damage yote more than the car in front? :eek::eek:. Something very wrong with drivers in this country.
Hiyo bus roof ni chafu kama keja ya Aardvark yetu.
^^^Cheza chini bro utafanya niuwawe…
Usiogope hiyo fuko.
nani alikua na makosa apa??
This Mirage entrance is an accident spot waiting to happen. How do you build on a highway without providing appropriate wayleave for all the traffic leaving and going into the building? This is why I never go for those land parcels right on the highway.
Move over Donald Trump. We’ve got a real-life real estate mbirrionea from Kiandutu…
huyo jamaa ameweka kitanda juu ya wingroad awekwe ndani kwanza
Bibi gani huyooo, bibi gani huyo, anatakata tulale chini.
Kitanda nimenunua, matress nimenunua, condom nimenunua, bado anataka tulale chini
Really loved that cheering song in high school! Na huyu jamaa wa wingroad probably was singing that same song akipeleka hiyo kitanda nyumbani