Accident Alert: Mazeras

Doublecab kapoteza mwelekeo. sijasema alikua mlefi
[ATTACH=full]498410[/ATTACH][ATTACH=full]498411[/ATTACH]

[ATTACH=full]498412[/ATTACH]

The driver saw his whole life flashing before his eyes

unfortunately double sio mizani ya mkeka

Wueh, pole kwake.

From the damage, it seems that speeds for both drivers were not high.

Ukifikisha miaka yangu unajua gari ni mkembe tu imeshapiwa kama hakuna mtu aliumia it’s all good

Aliponea vuchu vuchu

Mazeras?
Bonje, rather.
The worst possible place to even think about “committing” an accident.

Lazima alishonde hapo.

From bonje it’s better to use bypass than going through jomvu.