Accident Alert Kinungi

Uhuru ni matanye kwa kukataa kufanya hii barabara dual. We didn’t need dual from Makutano to Marua

Copied
I was at the accident scene and the driver of the white trailblazer was over speeding.
Thank God the two drivers of the cars all survived the accident, Just that the driver of the white car alivunjika both legs,he was screaming calling the names of his children asking God to spare his life, it’s sad
Quick recovery to the two of them
FB_IMG_1682960914028.jpg

Alikuwa anascream like a biitch yet ni yeye who was over speeding

Most Kenyan drivers hawajui kutumia gari iko na power na torque wazimu. Use that power and torque to quickly pass traffic when it is safe then rudi kwa lane yako na kwa kupanda milima cruising wachana nayo hatuna barabara za cruising. Our roads are poorly designed for high speed driving hata places zingine hazina shoulders. Unapata ngamia ya mtu just coz gari iko na turbo umbwa kazi ni boosting kila saa akijigamba vile gari take iko na “picking” wazimu. You only need to encounter an unmarked speed bump, sudden pothole or an overexcited goat or donkey while cruising then off you fly into the bushes.

Majingaaaaaaa lazima tushughulikiwe

usijali kodiash, ile mbaya ni ile ambroze alikufa jana halafu dk kwenywe beat na mr seed na dame yake wali toka bila dent

Mujinga sana yeye. Ati Munguuu wangu nawachia nani watoto yet ni yeye alikua reckless

Si Kila kitu lazima uncomment, tuko wengi hapa hata sisi tuna maoni

Jamaa alikaa tu poa akiwa kwa ward …then naskia eti he later died

WSR will dual it

Hapa I’m in agreement with you. Dual ingeisha Makutano

[MEDIA=twitter]1652773573864423425[/MEDIA]

Katombe mamako. Hii ambia bibi yako na watoto.

HESHIMU UHUNYE

:D:D:D:D

Kutoka kwa accident bila scratch can be dangerous and misleading.

My cuzo was involved in some accident some time back. Kuenda hosi kumcheki, he was the only guy without severe injuries. He could talk, telling us hajaumia sana. Body yake ilikua na minor scratches tu.

But A month latter, Jamaa started acting funny. Kupelekwa osi, ni kama brain ilipata some injuries. Hadi waleo he has never returned to normal

:D:D:D:D:D:D:D:D:D:DScreenshot_20220827-063801.png

[MEDIA=twitter]1652748891958267904[/MEDIA]

This was the case kapsaa

Cruising is actually what needs to be done as opposed to speeding.

Cruise: (for an aircraft or motor vehicle), travel smoothly at a moderate speed

Uhuru na Baba had a master plan for dualing the entire stretch from Rironi to Mau summit.Ruto is the one who stopped the plans and diverted the money to Sugoi.Yeye ndio itina.