Accident Alert: Busia

Two people die, several others injured in an bus-car collision at Kisian along Kisumu-Busia Highway.
[ATTACH=full]209060[/ATTACH]
[ATTACH=full]209061[/ATTACH]
[ATTACH=full]209062[/ATTACH]

noma sana

Damn!

Wah… poleni kwao

Kisian is just a few kilometres from Kisumu International Airport on Ksm-Maseno-Busia rd. Please edit.

wish imekanyangwa hadi inakaa Fit?

Hio stretch huwa swara sana esp hizo mawindings…

Poleni joh! bado tu 45 days mwaka iiishe watu watulize

I do not know who was at fault… But i maintain kupanda psv zingine ni kama kucheza Russian roulette. My first guess would be the bus. May their souls RIP and the hurt recover steadily

Nah me naona huyo wa wish alikuwa anajirbu kujoin the traffice opposite to the oncoming bus…akajiona @Mjuaji kagari kakashindwa kuingia haraka bus ikakuja kama imepita naye ikampandilia

Then bus akareverse ashuke from the small ka

lakini wish huwa nikama ilijengwa na carton badala ya mabati…

this is an obvious head on collision. someone might have been overtaking and couldnt squeeze back fast enough.

but hata kama huyu dere wa climax ameona mwenzake ameshindwa kurudi line yake hangesimama? some drivers are simply stupid

Mtu wa bus ama truck akiovertake anakuwashia taa anatutoa kwa barabara kama uko na gari ndogo unampisha anapita. Wewe piga timing vibaya uone. Atawasha mataa na kupita na wewe. Sijui wanataka sote tudrive trucks.