Ac Milan vs Arsenal last 16 Europa draw

Kwa wale mafans wa champions ketini huko this for arsenal …
the full draw
Lazio v Dynamo Kiev
RB Leipzig v Zenit St Petersburg
Atletico Madrid v Lokomotiv Moscow
CSKA v Lyon
Marseille v Athletic Bilbao
Sporting Lisbon v Viktoria Plzen
Borussia Dortmund v FC Salzburg
Milan v Arsenal

Kwa wale mafans wa champions ketini huko this for arsenal …
the full draw
Lazio v Dynamo Kiev
RB Leipzig v Zenit St Petersburg
Atletico Madrid v Lokomotiv Moscow
CSKA v Lyon
Marseille v Athletic Bilbao
Sporting Lisbon v Viktoria Plzen
Borussia Dortmund v FC Salzburg
Milan v Arsenal

Milan nowadays is shit…Team za kusumbua Arsenal hapo ni Altletico Madrid,Dortmund,Lyon

What are the odds that Arsenal watokee last sixteen ya Europa na 10-2 aggregate…:D:D:D

hizo team za Russia lazima zitoe moja Kati ya atletico na Lyon arsenal Ni kujikakamua sasa

Altleti are taking that cup seriously…Naona wakichukua ata

Arsenali na ile ngombe Wenger hakuna mahali tunaenda.

Tuko nyuma ya uncle WENGE MUSICA

cc @123tokambio

Hapo lazima arsenal ipewe a beating…

:smiley: kabisa!! Wenge Musica BCBG atawale milele!!! Mbaff!!

Nimeona GG mbili hapa sure bet kabisa. Kuna ya tatu lakini mbili hapa ni ndani.

i agree

Athletic Bilbao is also a tricky team. Lakini Atletico might win it.

AC Milan iko down pia. I think Arsenal itapita quarters but wanaweza chapwa semi ama final.

am for it to win.Simeone knows thats the only trophy on his way

Arsenal kichapo cha last 16 kama kawa .

nishow hizi GG mbili kabla odds zishuke

leta hizo GG nibookmark for those matches tukamue muhindi pamoja

Dortmund/Salzburg
Marseille/Bilbao. Hii pia 1+GG or 1X+GG inaweza
*Sporting/Plzen
*Leipzig/Zenit

Arsenal nowadays is shit…team za kusumbua Milan hapo ni Atletico Madrid, Dortmund, Lyon.