Wanasema they want Nairobi County governorship, Speaker National Assembly na Leader of Majority in National Assembly ndio wajoin Jubilee. Itawezekana kweli?
Afana, hiyo nikama kusukuma punda mtremko
Vipi ibwit…hehe naona bado uko area after kutukana admin
Kama bacteria bana, ngoja link ya tekegram nasakanyanyia wewe
Noted.
Cc tikteta @uwesmake
We mutiso. Nikidownload telegram app mutaniadd?
Ababu is locked…
5k only.
Lakini tunaweza kupea discount. Leta 3k
Nairobi ni Sonko. Period.
Remember the mandimoni issue with Musalia? hii story ya Ababu will end with him lossing his current seat
Iyo itisha NVs.
Pelekaa ujubilee uko. Hapa tuko tekegram
I understand he’s aiming for bigger things. But mimi hiyo hesabu ndio sioni ikiingiana.
MOU’s only apply before elections. After that watu ni kujipanga ama wapangwe.
In short, before elections you can be promised anything.
Pelekaa ujubilee uko. Hapa tuko tekegram
Kwaivo ababu hayuko locked?
Lakini wewe umeoa. You are not supposed kuonekana telegram
Bingwa nyeeee
Huko hamuongei siasa?
ababu labda apewe governor wa huko budalangi, btw hio ni county gani @Okiya