Kwanza niulize, thread ya Jay imeenda, izo comments zilikua zinanimada!!
Alafu apa nimeona shawty akisema kitu na hakua ameshkanisha venye kunaenda wanaume watasimama around her wakishout “sarcasm!” “sarcasam!”… Mzee mzima akisema kitu simple in jest wanaume ndio ao oh sijui eurobond, oh cpu…Isorait!
Nimeenda apa inje kuvuta fegi, nikirudi top team wako in action tunakamua Liverfools!! COYG!!